20 Feb 2026 1:19 pm | Citizen TV 285 views Duration: 1:45 Kiongozi wa chama cha United green movement David Maranga amemtaka rais William Ruto kuingilia kati na kuweka mikakati ya kuwasaidia wakenya ambao wanakabiliwa na baa la njaa katika maeneo ya kaskazini mwa nchi.