Maraga awakashifu wanaoendeleza michango

  • | Citizen TV
    768 views

    Aliyekuwa jaji mkuu David Maraga amewakashifu viongozi wa serikali kwa kujihusisha na michango ya kiholela akisema kuwa pesa zinazosambazwa ni mali ya wizi. Maraga, ambaye anaazimia kugombea urais kwenye uchaguzi wa mwaka wa 2027, amewasihi wakenya kutohadaiwa na viongozi hao ambao anasema wameshindwa kufanya maendeleo nchini kama walivyowaahidi