11 Mar 2026 8:13 pm | Citizen TV 191 views Duration: 1:17 Jaji Mkuu mstaafu na kinara wa UGM David Maraga, ameendelea kuwashinikiza vijana nchini kujisajili kama wapiga kura, ikiwa bado wana azma ya kuwang’atua viongozi aliotaja kuwa wafisadi ofisini.