26 Aug 2025 1:16 pm | Citizen TV 8,344 views Duration: 1:20 Jaji Kkuu Mstaafu David Maraga amekosoa hatua ya kuzimwa kwa mtandao wa bima ya afya ya SHA akidai ipo njama fiche.