Skip to main content
Skip to main content

Maraga: Lazima Ruto aondoke, niko tayari kuahirisha azma yangu

  • | Citizen TV
    696 views
    Duration: 1:16
    Kinara wa chama cha UGM, Jaji Mkuu Mstaafu David Maraga, amegusia uwezekano wa kujiunga na wenzake katika upinzani, iwapo hiyo ndiyo itakuwa njia ya pekee kumbandua rais William ruto mamlakani.