Marais wa Mexico na Costa Rica watoa wito wa kutanzua mzozo wa Wahamiaji katika bara la Amerika

  • | VOA Swahili
    129 views
    - - - - - Marais wa Mexico na Costa Rica wametoa wito wa kutaka hatua kuchukuliwa kwa pamoja kati ya nchi za mabara ya Amerika kutanzua mzozo mkubwa wa wahamiaji wanaojaribu kuwasili Marekani. Rais wa Mexico anasema karibu wahamiaji elfu 10 wanawasili kila siku nchini Mexico wakitokea nchi mbali mbali za Amerika ya kusini na kati wakitake kuingia Marekani.