- 6,419 viewsDuration: 3:48Jamaa na marafiki wa marehemu rubani george were wamekongamana katika kanisa la don bosco hapa jijini nairobi kwa misa ya wafu ya kumpa mkono wa buriani . were ni mmoja kati ya watu sita waliofariki kwenye ajali ya helikopta iliyotokea katika eneo la mosop kaunti ya nandi. Ajali hiyo pia ilisababisha kifo cha mbunge wa emurua dikirr johana ng'eno ambaye tayari amezikwa.