Marekani: Je, unafahamu tabia na mwenendo wa kizazi cha Gen -Z ikiwemo muelekeo huru

  • | VOA Swahili
    348 views
    Kizazi cha Gen-Z au watu waliozaliwa 1999 ni mchanganyiko mkubwa wa Wamarekani kutoka tabaka na makabila mbalimbali kuliko vizazi vilivyotangulia. Ungana na mwandishi wetu akikuletea tabia na mwenendo wa kizazi hiki kwenye masuala mbalimbali ikiwemo mwelekeo huru wa kisiasa. Endelea kusikiliza... #kizazi #gen-z #wamarekani #tabaka #makabila #vizazi #tabia #mwenendo #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.