- 318 viewsDuration: 1:45Waziri wa masuala ya kigeni wa Marekani Nebraska Bob Evnen amezuru Kaunti ya Meru kuanzisha Mkataba wa Ushirikiano kati ya Meru na jimbo la Nebraska Kwenye uzalishaji wa mifugo wa nyama na uzalishaji wa vyakula vya ng'ombe wa Maziwa.