Marekani: Marais wa zamani na aliyeko madarakani washiriki kufanya kampeni

  • | VOA Swahili
    690 views
    Marais wa zamani Donald Trump, Barack Obama, Bill Clinton pamoja na Rais aliyeko madarakani wameshiriki katika kampeni ya uchaguzi wa katikati ya muhula saa chache kabla ya uchaguzi huo kufikia kilele kesho Jumanne Novemba 8, 2022. Sikiliza repoti mbalimbali za waandishi wetu kuhusu tukio hilo muhimu wakieleza joto la uchaguzi lilivyopamba moto na nini kinachohofiwa kwa vyama vyenye ushindani mkubwa vya Republikan na Demokratik... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.