Skip to main content
Skip to main content

Marekani na Israel zafanya mashambulizi ya 'tahadhari' dhidi ya Iran

  • | BBC Swahili
    17,068 views
    Duration: 32s
    Marekani na Israel zimeanzisha kile walichokiita "shambulio la tahadhari" dhidi ya Iran. Milipuko mitatu imesikika katikati mwa jiji la Tehran. Tazama hali ilivyokuwa baada ya Iran kushambuliwa asubuhi #bbcswahili #iran #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw