Marekani na Ulaya zasisitizwa kuipa misaada Ukraine

  • | VOA Swahili
    494 views
    Uharaka wa kuipatia Ukraine silaha ambazo inazihitaji kulisitisha jeshi la Russia kusonga mbele ulisisitizwa Jumapili na wote Ulaya na Marekani. Wakati huo huo, wito wa kusitisha maafa kwa binadamu na juhudi za kufanikisha suluhisho la amani kwa vita hivyo uliwekwa mbele. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.