Marekani yaahidi kuongeza msaada wakati Haiti inakabiliana na mgogoro wa ndani

  • | VOA Swahili
    650 views
    Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry alitangaza kwamba angejiuzulu, siku moja baada ya Marekani kuahidi msaada mwingine wa dola milioni 100, kwa kikosi cha usalama cha kimataifa kinachoungwa mkono na Umoja wa Mataifa, kilichonuiwa kusaidia polisi wa Haiti, katika kupambana na magenge, ikiwa ni sambamba na dola milioni 33 za misaada ya kibinadamu. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.