Marekani yaimarisha vikosi vya majini kusaidia Israel

  • | BBC Swahili
    12,525 views
    Marekani inaimarisha vikosi vyake vya majini mashariki mwa Mediterania katika kuonyesha kuiunga mkono Israel. Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin anasema kwamba kutumwa kwa meli ya USS Eisenhower kulikusudia "kuzuia vitendo vya uhasama dhidi ya Israeli au juhudi zozote za kusambaa kwa vita hivi". #bbcswahili #israel #gaza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw