MAREKANI YAONGOZA DUNIA KATIKA UTOAJI CHANJO ZA COVID 19

  • | VOA Swahili
    Wakati Marekani inakaribia kufikia lengo lake la kuwapatia chanjo wamarekani milioni 200 ifikapo mwisho wa mwezi April, utawala wa Biden unachukua hatua zaidi katika kuyasaidia mataifa mengine kwa kuteua mratibu kwa majibu yake ya ulimwengu kwa Covid 19. #DL #VOA