MAREKANI YARUDI RASMI KATIKA MKATABA HALI YA HEWA WA PARIS

  • | VOA Swahili
    Viongozi wa ulaya, umoja wa mataifa na wachambuzi wengi wa kisiasa wapongeza uwamuzi wa Rais wa Marekani Joe Biden kuirudisha nchi yake kwenye jukwaa la kimataifa wiki chache tu baada ya kuchukua madaraka. Akiwahutubia viongozi wa G5 na mkutano wa usalama wa Muncih siku ya Ijuma Rais Biden amesema kwamba Marekani imerudi, na inachukua nafasi yake katika masuala ya kimataiafa. #DL #VOA