- 3,270 viewsDuration: 31sJeshi la Marekani limesema lilifanya mashambulizi ya kile lilichokiita “kujilinda” dhidi ya Iran usiku kucha na pia lilidungua makombora ya balistiki pamoja na ndege zisizo na rubani (droni) zilizokuwa zikilenga meli na nchi za Ghuba. Jeshi hilo limesema lilifyatua risasi dhidi ya meli ya kusafirisha mafuta iliyokuwa ikijaribu kufika Iran kwa kukiuka zuio la Marekani. #bbcswahili #iran #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw