Marekani yazitaka pande zote za kisiasa nchini Kenya kujiepusha na fujo

  • | VOA Swahili
    2,201 views
    Marekani imezitaka pande zote za kisiasa nchini Kenya kujiepusha na ghasia na fujo na pia vyombo vya usalama kutotumia nguvu kupita kiasi. Marekani imeeleza inasikitishwa na kupotea kwa maisha na uharibifu wa mali. Ungana na mwandishi wetu akikuletea yale ambayo Marekani inaamini katika demokrasia na nini kiongozi wa upinzani anaendelea kusimamia. Endelea kusikiliza... #marekani #siasa #vyama #upinzani #ghasia #fujo #vyombovyausalama #demokrasia #haki #maandamano #voaswahili #voa #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.