Marekebisho ya IEBC | Odinga ataka wadau washirikishwe

  • | KBC Video
    36 views

    Kinara wa Azimio la Umoja Raila Odinga, sasa anataka serikali kushauriana na wadau wote kuhusu marekebisho mapya kwenye tume ya IEBC. Akihutubia mkutano uliofanyika huko Kisii, Raila alisema shinikizo lake la marekebisho ya kiuchaguzi na kiuchumi halitasimamishwa na yeyote. Kinara huyo wa mrengo wa Azimio alisema hatalegeza kamwe jitihada zake za kuushinikiza utawala wa Kenya Kwanza kupunguza gharama ya maisha na kuacha kile alichitaja kuwa ushuru wa kuwanyanyasa WaKenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #azimiolaumoja #News #railaodinga #iebc