Margaret Nyakango aeleza yaliyojiri kuhusu chama tata cha ushirika

  • | Citizen TV
    2,442 views

    Msimamizi wa Bajeti Margaret Nyakang’o sasa amefichua yaliyojiri kabla na baada ya kukamatwa na kuwasilishwa kwake mjini Mombasa. Nyakang'o amezungumzia namna alivyosafirishwa na maafisa wa upepelezi kutoka Nairobi hadi Mombasa usiku kucha.