Martha Karua adokeza maandamano ya kupinga mswada wa fedha

  • | K24 Video
    69 views

    Naibu kinara wa Azimio Martha Karua ametoa wito kwa serikali ya sasa kuheshimu waandamanaji ambao hawaridhishwi na jinsi serikali inavyoendeshwa. Kulingana na Karua,serikalii za hapo awaili ziliruhusu maandamano na itakuwa ni bora Rais William Ruto aheshimu hilo.