Martha Karua ahangaishwa Uganda baada kuchaguliwa na Besigye kumtetea mahakamani

  • | NTV Video
    4,907 views

    Kiongozi wa NARC Kenya Martha Karua anahangaishwa nchini Uganda. Karua, ambaye alichaguliwa na kinara wa upinzani nchini humo kizza besigye kumtetea kwenye mahakama ya kijeshi ya uganda, hadi sasa hana leseni anayohitaji kuwa nayo ili amwakilishe besigye, licha ya kuitisha serikali ya huko leseni hiyo siku kumi zilizopita. davidi muthoka amezungumza na karua aliyeratibu masaibu yake ugenini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya