Martha Karua ameitaka serikali kuwajibikia waliouwawa na ambao bado hawajulikani waliko

  • | Citizen TV
    1,059 views

    Kinara wa Narc kenya Martha Karua ameitaka serikali kuwajibikia waliouwawa na ambao bado hawajulikani waliko baada ya maandamano ya vijana yaliyoendelea kwa mwezi mmoja kushinikiza mabadiliko nchini. Karua amesema kuwa atawasilisha kesi kwenye tume ya afrika kuhusu haki za kibinadamu na umoja wa mataifa.