Martha Karua aonya kuwa demokrasia katika jumuiya ya Afrika Mashariki inazama

  • | NTV Video
    515 views

    Kiongozi wa chama cha PLP Martha Karua ametoa onyo kuwa mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, hasa Kenya, Uganda na Tanzania akisema zinaelekea kuzama zaidi katika dimbwi la ukiukaji wa haki za kibinadamu na demokrasia, iwapo hatua ya haraka hazitachukuliwa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya