Martha Kome leo aelezea changamoto ambazo idara ya mahakama inakabiliana nayo

  • | Citizen TV
    56 views

    Jaji mkuu Martha Kome leo ameelezea changamoto ambazo idara ya mahakama inakabiliana nayo wakati wa kutelekeza huduma zake kwa wananchi. Koome amesema idara ya mahakama imepiga hatua katika kukumbatia teknolojia katika kutekeleza majukumu yake jambo ambalo limesaidia kuharakisha kusikiza kesi na kutoa uamuzi lakini bado kuna changamaoto katika kuwasilisha kesi kupitia mitandao. Alisema hayo wakati wa kuwasilishwa kwa ripoti kuhusu utendakazi wa idara ya mahakama.