Marubani wawinda makombora ya Urusi

  • | BBC Swahili
    2,822 views
    Urusi ilirusha mamia ya makombora na ndege zisizo na rubani huko Ukraine katika wiki chache zilizopita na kusababisha uharibifu huku umeme ukikatika kote nchini. BBC imezungumza na mmoja wa marubani wa kivita waliopewa jukumu la kujaribu kuzuia silaha hizo hatari kabla ya kushambulia miji ya Ukraine. Anajulikana kwa jina la kubuni la “Juice”, kwasababu mamlaka imemtaka afiche utambulisho wake. #bbcswahili #ukraine #urusi