Marufuku ya muguka

  • | Citizen TV
    5,830 views

    Viongozi wa kilifi waunga mkono marufuku ya muguka viongozi hao wasema bidhaa hiyo imewaathiri vijana wanataka marufuku kuwekwa katika kaunti za pwani