Marufuku ya uagizaji mahindi ya GMO

  • | K24 Video
    40 views

    Marufuku ya GMO itasalia hadi mahakama ya juu itakapotoa uamuzi wa rufaa iliyokatwa na vuguvugu la kenya peasants league. Wakitoa uamuzi huo majaji mohammed warsame, Ali Aroni na John Mativo wamesema ombi la serikali kuondoa marufuku hadi uamuzi wa rufaa hiyo halikuridhisha mahakama na vilevile, uamuzi huo haukushirikisha umma ipasavyo.