Masaibu ya Mwangaza | Hoja ya kumbandua yawasilishwa kwenye bunge la kaunti

  • | KBC Video
    32 views

    Masaibu yanayomkumba Gavana wa Kaunti ya Meru Kawira Mwangaza yanaonekana kuongezeka baada ya hoja ya kumbandua mamlakani kuwasilishwa rasmi kwenye bunge la kaunti hiyo. Hoja hiyo inataka Kawira kutimuliwa kwa kukiuka sheria wakati wa kuteua baraza lake la mawaziri na maafisa wakuu wa kaunti hiyo miongoni mwa madai mengine. Hoja ya kutaka abanduliwe iliwasilishwa na mwakilishi wa wadi ya Abogeta, Dennis Kiogora.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #kawiramwangaza #News #meru