Skip to main content
Skip to main content

Masaibu ya Raphael Tuju | Mvutano wa miaka 9 mahakamani

  • | Citizen TV
    4,685 views
    Duration: 3:17
    Masaibu yanayomkumba aliyekuwa Waziri Raphael Tuju yanayokana na mvutano wa miaka 9 mahakamani, yaliyoanzia Uingereza na kuendelea nchini Kenya. Kesi hizo zipitia viwango vyote vya mahakama ila ile ya juu zaidi ya upeo. Hebu sasa tuangazie jinsi mvutano huu ulivyoanza hadi sasa.