Masaibu ya Wanawake Lamu

  • | Citizen TV
    245 views

    Akina mama katika Kisiwa cha Pate na Kiunga kaunti ya Lamu wamelazimika kujikita kwenye biashara ndogodogo ili kusaidia familia zao baada ya waume zao kukosa kuwajibikia familia ipasavyo.