Masaibu ya Waziri wa Kilimo Mithika Linturi yatarajiwa kukamilika leo, huku akingoja hatma yake

  • | TV 47
    349 views

    Kamati ya bunge inayosikiliza hoja ya kubanduliwa kwa Waziri wa Kilimo Mithika Linturi hii leo inatarajiwa kukamilisha vikao vyake.

    Hii ni baada ya pande zote mbili kutoa ushahidi katika kipindi cha siku mbili huku Linturi akikanusha madai ya kuhusika katika usambazaji wa mbolea bandia pamoja na kulegea kazini.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __