- 145 viewsDuration: 3:11Kamati ya Afya katika Bunge la Seneti imekuwa na ziara ya siku mbili katika kaunti ya Lamu ili kufahamu na kubaini changamoto za hospitali za Lamu. Ziara hii inalenga kuhakikisha wakazi wa Lamu wanapata huduma za afya inavyostahili.