Maseneta wa ODM wametakiwa kubainisha msimamo wao kuhusu mswada wa BBI

  • | KBC Video
    Baadhi ya wanasiasa wa chama cha ODM wanasema hawatawaruhusu wenzao kuwa na msimamo tofauti kuhusiana na mchakato wa marekebisho ya katiba. Wakiongozwa na mbunge wa Ugunja Opiyo Wandayi, wabunge hao wanawataka wenzao ambao hawajakubaliana na msimamo wa chama kuhusu mchakato huo kutangaza maoni yao hadharani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive