Maseneta waagizwa wasisafiri nje ya nchi kufuatia kutimuliwa kwa Gachagua

  • | Citizen TV
    6,660 views

    Maseneta wote sasa wamezuiwa kuondoka nchini kwa wiki moja ijayo, hadi wakati ambapo hoja ya kumbandua Naibu Rais Rigathi Gachagua itakapokamilishwa katika Bunge la Seneti.