Skip to main content
Skip to main content

Maseneta waandaa kikao maalum kumkumbuka Raila Odinga, wakimtaja kama shujaa wa mageuzi na haki.

  • | Citizen TV
    958 views
    Duration: 2:19
    Maseneta leo wameandaa kikao maalum kumkumbuka aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga, wengi wakimtaja kama mtu aliyekuwa shupavu kwa mageuzi na mpiganiaji wa haki. Baadhi ya maseneta wakishindwa kujizuia kihisia na wengine wakitokwa na machozi wakimkumbuka Odinga kama kiongozi aliyechangia pakubwa katika historia ya taifa, na kukua kwao binafsi