Maseneta wakandamiza polisi kutuma nguvu kupita kiasi kwa waandamanaji waopinga mswada wa fedha

  • | NTV Video
    1,009 views

    Maseneta wamekandamiza maafisa wa polisi kwa kutumia nguvu kupita kiasi kudhibiti waandamanaji waliokuwa wanapinga mswada wa fedha wa mwaka huu, matukio yaliyosababisha maafa ya zaidi ya watu 20. Haya yalijiri wakati kiongozi wa wengi seneti Aaron Cheruiyot, aliomba bunge hilo kujadili maswala tofauti ikiwemo matumizi mabaya ya fedha, uhuru wa mahakama, utendakazi wa polisi na hata hali ya ufisadi nchini. Viongozi hao pia wameshutumu tume ya misharaha nchini, SRC kwa kuwa kimya huku wakikubali pendekezo la kupunguzwa kwa mishahara yao. Haya ndio yaliyojiri.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya