Maseneta wameishtumu Kampuni ya KPLC, kwa kukiuka katiba kwenye sera yake ya uajiri

  • | KBC Video
    28 views

    Maseneta wameishtumu Kampuni ya usambazaji umeme ya Kenya power kwa kukiuka katiba kwenye sera yake ya uajiri. Wasimamizi wa kampuni hiyo waliofika mbele ya kamati ya seneti kuhusu uwiano na uwakilishi sawa walikuwa na wakati mgumu kueleza ni kwa nini asilimia 40 ya wafanyakazi katika kampuni hiyo ni watu wa jamii mbili za humu nchini. Mkurugenzi mkuu wa Kenya Power Mhandisi Joseph Siror alisema tayari kuna mpango ya kubadili hali hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News