19 Aug 2025 1:18 pm | Citizen TV 10,985 views Duration: 2:29 Maseneta sasa wanamtaka Rais William Ruto kutoa ushahidi alionao kuhusu kuwa baadhi yao wanahongwa wanaposhughulikia kesi za magavana wanaofikishwa mbele yao.