Maseneta watishia bunge la taifa kuhusu kubuniwa kwa hazina yao

  • | K24 Video
    17 views

    Spika wa bunge la seneti Amason Kingi amewahakikishia maseneta kupitishwa kwa mfuko wa fedha za ufuatiliaji ugatuzi bila ya kuwepo kwa mchakato wa kubadilisha katiba. Haya yanajiri wakati ambapo mzozo kati ya bunge la kitaifa na lile la seneti ukiibuka upya ambapo kiongozi wa wengi katika bunge la seneti Aaron Cheruyiot akitishia kusambaratisha harakati za wabunge kupokea mgao wa hazina ya NG-CDF iwapo wataendelea kukosa kuheshimu hadhi ya seneti.