Mashabiki 6, 000 kuruhusiwa uwanjani Nyayo kwenye mashindano ya Kipkeino Classic

  • | Citizen TV
    Waziri wa michezo Amina Mohammed ametangaza kuwa mashabiki 6000 pekee ndiyo watakaoruhusiwa katika uwanja wa Nyayo kwa mashindano ya riadha ya Kipkeino Classic.