Skip to main content
Skip to main content

Mashabiki wa Arsenal Kenya washerehekea ubingwa baada ya miaka 22

  • | Citizen TV
    10,919 views
    Duration: 3:02
    Mashabiki wa Arsenal kutoka maeneo mbalimbali nchini Kenya walijitokeza katika miji tofauti kusherehekea ushindi wa timu hiyo baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza kwa mara ya kwanza baada ya miaka 22 ya kusubiri.