Mashabiki wa Barcelona washerehekea ushindi wa timu hiyo kuilaza Espanyol 2-0

  • | NTV Video
    65 views

    Mashabiki wa Barcelona walimiminika Las Ramblas kusherehekea taji la 28 la LaLiga, baada ya kikosi cha Hansi Flick kuwalaza wapinzani wao wa jiji, Espanyol mabao 2 kwa 0 na kuhakikisha wanaongoza kwa alama saba mbele ya Real Madrid walio nafasi ya pili huku zikiwa zimesalia mechi mbili tu.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya