Mashabiki wa stesheni za redio za RMS watangamana na watangazaji

  • | Citizen TV
    Mashabiki wa stesheni za redio za RMS watangamana na watangazaji Misafara hii imerejelewa baada ya kutatizwa na tandavu ya Corona Msafara wa Inooro FM ulikuwa katika kaunti za Laikipia, Nkuru Stesheni za Rdio Citizen, Mulembe, Vuuka, Sulwe zilikuwa Kakamega Radio Ramogi ilitua katika maeneo kadhaa kaunti ya Migori, Siaya