Mashabiki walia tiketi Feki, wazuiwa kuingia Kasarani

  • | Citizen TV
    2,988 views

    Mamia ya mashabiki wa soka wa kenya walizuiwa kuingia katika uwanja wa kasarani, licha ya kuwa na tiketi zilizokuwa zinaonekana kuwa halali. Mashabiki hao wamedai kuwa tiketi zao zilikuwa tayari zimeshatumika. Hali hii inadaiwa kusababishwa na baadhi ya watu waliokuwa wamenunua tiketi kwa wingi na kuziuza tena kwa watu mbalimbali. Mkanganyiko huo uliwaacha mashabiki wengi nje ya uwanja.