Mashahidi zaidi watoa ushahidi dhidi ya seneta wa Uasin Gishu Jackson MandagO

  • | K24 Video
    37 views

    Mashahidi zaidi wametoa ushahidi dhidi ya seneta wa Uasin Gishu Jackson Mandago katika mahakama ya nakuru katika kesi kuhusiana na ufadhili wa masomo nchini finland. Kufikia sasa mashahidi 35 kati ya 202 wametoa ushahidi. Waathiriwa wa sakata hiyo wameelezea jinsi maisha yao yamebadilika kufuatia masaibu ya kupoteza mamilioni ya pesa.