Skip to main content
Skip to main content

Mashambulizi Mashariki ya Kati yasababisha Kenya Airways kusitisha safari kwenda Dubai na Sharjah

  • | Citizen TV
    28,918 views
    Duration: 2:37
    Mashambulizi yanashuhudiwa katika mataifa kadhaa ya mashariki ya kati, kufuatia mashambulizi dhidi ya jamhuri ya iran yaliyotekelezwa na marekani na israel. Hapa nchini, athari za mashambulizi hayo yanashuhudiwa baada ya shirika la ndege la Kenya airways kusitisha safari za ndege kwenda dubai na sharjah kufuatia kufungwa kwa anga ya milki ya kiarabu UAE. Hii ni baada ya Iran kurusha makombora ya kulipiza kisasi katika mataifa kadhaa..