Mashehe kutoka msikiti wa Jamia waandaa kongamano kuhusu ndoa jijini Nairobi

  • | KBC Video
    17 views

    Waumini wa dini ya kiislamu wamehimizwa kutafuta huduma za ushauri wa ndoa kuhusu kutoelewana katika ndoa kabla kutalikiana. Mada hii ilikithiri kwenye majadiliano wakati wa mkutano ulioandaliwa hapa Nairobi wa mashehe kutoka msikiti wa Jamia na kituo cha ushauri wa masuala ya familia. Mkutano huo unajiri baada ya ripoti kutoka kwa mahakama ya kadhi mwaka jana kufichua kwamba kuna ongezeko la idadi ya kesi za talaka.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #marriage