Mashindano ya kwaya yaandaliwa kwa kuadhimisha sherehe za pasaka

  • | Citizen TV
    504 views

    Kama mojawapo ya njia za kusherehekea sikukuu ya pasaka, mashindano ya kwaya yaliandaliwa kaunti ya vihiga huku makanisa mbali mbali yakijumuishwa.