Mashindano ya nyimbo za kitamaduni yaandaliwa Kwale

  • | Citizen TV
    118 views

    Katika maandalizi ya mashindano ya kitaifa ya nyimbo za kitamaduni, Kaunti ya kwale imeandaa mashindano ya zaidi ya vikundi 100 ili kutafuta uwakilishi kwenye jukwaa la kitaifa. Nyimbo za kitamaduni zikitajwa kama njia moja ya kuleta jamii pamoja kupitia mafunzo ya kiasili